资讯

Kinda Mtanzania Gilbert Kossey mwenye umri wa miaka 18, ataonekana katika Ligi ya Mabingwa Asia msimu ujao baada ya kukamilisha uhamisho wa kujiunga na Hanoi Police inayoshiriki Ligi Kuu ya Vietnam.