资讯

KUELEKEA Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, Wawakilishi na Madiwani Oktoba mwaka huu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinasema ...
DAR ES SALAAM; Watu 1,369 wakiwemo watu wazima 1,289 na watoto 80 wamepata huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo katika ...
GEITA; IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Geita imewakamata wahamiaji haramu 126, ambao ni raia wa Burundi walioingia nchini, kufanya ...
TIMU ya Arusha Warriors imekusudia kufanya vizuri katika mashindano ya soka kwa walemavu yatakaoanza Julai 17 hadi 19 katika ...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, leo Julai 16, 2025 amezindua rasmi Jengo jipya ...
ADDIS, ETHIOPIA : MAMLAKA za Ethiopia zimewakamata watu 82 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu ...
DAMASCUS : TAKRIBAN watu 248 wameuawa katika mfululizo wa mapigano yaliyodumu kwa siku kadhaa huko Sweida, Kusini mwa Syria, ...
Mama huyu ni chombo cha utulivu, uwazi na somo la demokrasia Tanzania pia amekutana mara kadhaa na viongozi wa upinzani ...
UBELGIJI : UMOJA wa Ulaya (EU) unatarajiwa kuidhinisha awamu mpya ya vikwazo dhidi ya Urusi ikiwa ni hatua nyingine ya ...
Uzalendo wa kweli ni utayari wa kubeba sehemu ya mzigo wa taifa Mzigo wa taifa ni changamoto, majukumu na gharama ...
Hatua hiyo ya kupunguza misaada, iliyochukuliwa na mataifa tajiri kama Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani, imeelezwa ...
TANGU Julai hadi Desemba 2025, Denmark inashika nafasi muhimu ndani ya Umoja wa Ulaya. Hiyo ni nafasi ambayo huenda watu wengi nje ya Ulaya hawaifahamu, lakini ni nafasi yenye uwezo wa kuathiri sera n ...