资讯
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, leo Julai 16, 2025 amezindua rasmi Jengo jipya ...
ADDIS, ETHIOPIA : MAMLAKA za Ethiopia zimewakamata watu 82 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu ...
DAMASCUS : TAKRIBAN watu 248 wameuawa katika mfululizo wa mapigano yaliyodumu kwa siku kadhaa huko Sweida, Kusini mwa Syria, ...
Mama huyu ni chombo cha utulivu, uwazi na somo la demokrasia Tanzania pia amekutana mara kadhaa na viongozi wa upinzani ...
UBELGIJI : UMOJA wa Ulaya (EU) unatarajiwa kuidhinisha awamu mpya ya vikwazo dhidi ya Urusi ikiwa ni hatua nyingine ya ...
Uzalendo wa kweli ni utayari wa kubeba sehemu ya mzigo wa taifa Mzigo wa taifa ni changamoto, majukumu na gharama ...
Hatua hiyo ya kupunguza misaada, iliyochukuliwa na mataifa tajiri kama Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani, imeelezwa ...
TANGU Julai hadi Desemba 2025, Denmark inashika nafasi muhimu ndani ya Umoja wa Ulaya. Hiyo ni nafasi ambayo huenda watu wengi nje ya Ulaya hawaifahamu, lakini ni nafasi yenye uwezo wa kuathiri sera n ...
CUBA : WAZIRI wa Kazi wa Cuba, Marta Elena Feitó Cabrera, amejiuzulu kufuatia ukosoaji mkali alioupata baada ya kudai kuwa hakuna ombaomba nchini humo.
KATIKA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, sekta ya habari nchini imeelekezwa kuwa mstari wa mbele katika kulinda amani ya nchi, kuhakikisha taarifa sahihi, na kudumisha maadili ya taaluma ya ...
Jambo lingine alilotoa ni wito kuhusu ajira za watendaji wa vituo akisisitiza kwamba zizingatie kuajiri wenye weledi, ...
MWAKILISHI Mkazi wa Umoja wa Mataifa Nchini (UN), Susan Namondo ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa kuimarisha uhuru wa ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果