Haya yanajiri siku chache baada ya waasi wa M23 kudhibiti Bukavu na Goma, miji ambayo ina wakazi wengi DRC. Kwa upande ...
Hatimaye Al Hilal ya Sudan wamepangwa na kingingi Al Ahly kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ...
Wanamgambo wa RSF wanaopigana na jeshi nchini Sudan na washirika wake wakiwemo wanasiasa wapo jijini Nairobi nchini Kenya, ...
Jenerali Abdelfattah El Burhan ameondoa uwezekano wa kufanya mazungumzo na RSF au makundi yenye kuwaunga mkono akidai kuwa ...
UTABIRI wa hali ya hewa katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), umeonesha kuendelea kupanda kwa kiwango cha joto ...
Sera ya Kimataifa ya Kenya na kauli za Rais William Ruto zimetajwa kuwa mzigo mzito uliomharibia mgombea wa nchi hiyo, Raila ...
Mchuano huo uliokwenda hadi mzunguko wa saba Youssouf ameshinda kwa kupata kura 33, baada ya Raila kuondoa jina lake.
Mwaka 2017, Amina Mohamed wa Kenya alipata kura 16 katika duru ya kwanza dhidi ya kura 14 za Moussa Faki, huku kura ...
Sasa ni rasmi kuwa Mazungumzo ya kurejesha amani Sudan Kusini yanayojulikana kama Tumaini, yamevunjika mjini Nairobi.
Watu wasiopungua 20 wameuawa nchini Sudan Kusini baada ya ndege kuanguka muda mfupi baada ya kupaa. Msemaji wa Mamlaka ya anga ya Sudan Kusini, amesema watu 21, wakiwemo raia wa Sudan Kusini na ...
Ndege ndogo iliyobeba wafanyakazi wa kisima cha mafuta kilichopo kwenye Jimbo la Unity nchini Sudan Kusini imeanguka hii leo na kuua watu 20. Waziri wa Habari wa Jimbo la Unity Gatwech Bipal ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果