SERIKALI ya Uganda imetangaza kuwa idadi ya watu walioambukizwa ugonjwa wa Ebola imefikia tisa kutoka watu watatu ...
Maafisa wa Uganda wanajiandaa kupeleka chanjo ya majaribio kama sehemu ya juhudi za kukomesha mlipuko wa Ebola katika mji ...
For a better experience on your device, try our mobile site. Swahili Kwenye simu Imebadilishwa: 14 Januari, 2013 - Saa 10:02 GMT Je hali imebadilika nchini Kenya? 03:31 Nani atategua kitendawili cha W ...
Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti kuwa muuguzi mmoja amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola, katika mji mkuu, Kampala.
Wizara ya afya ya Uganda imetangaza Alhamisi kuwa Kampala inakabiliwa na mlipuko wa Ebola ambao umesababisha kifo cha mtu mmoja katika mji mkuu, Kampala. "Mlipuko unaosababishwa na ugonjwa wa ...
Wizara ya Afya Uganda, imethibitisha mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Ebola, ‘Sudan Ebola Virus Disease’ (SVD) jijini Kampala baada ya sampuli kuthibitishwa na maabara tatu za kitaifa.