Ayatollah Khamenei amedaiwa kukosa ucheshi na umaarufu mkubwa kama mtangulizi wake. Khomeini alikuwa kiongozi wa dini wa hadhi ya juu aliyefaa kuigwa. Wakati Ayatollah Khamenei alipochukua uongozi ...