资讯

Mashabiki wa Yanga wanajua kwamba wapo mastaa wataachana na timu hiyo mwisho wa msimu huu lakini kama kuna jina limewashtua ni mido Khalid Aucho kuwa katika hatua za mwisho kuikimbia klabu hiyo.
Manchester United wameongeza rasmi ofa yao kwa mshambuliaji wa Brentford, Bryan Mbeumo, hadi kufikia Pauni milioni 70 (Sh245 bilioni) katika juhudi mpya za kumaliza mkwamo uliodumu kwa ...
Wadau wamepongeza hatua ya ushirikishaji wa rika zote katika maandalizi ya Dira 2050 huku Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, ...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu mfanyabiashara, Abubakari Msangi (48) kutumikia kifungo cha miaka 20 jela baada ya ...
Umoja wa Wazee Mkoa wa Mbeya umevitaka vyama vya siasa nchini, kuhakikisha vinawateua wagombea wanaokubalika kwa wananchi ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametaka kubadilishwa kwa mitazamo, namna ya kufanya kazi, na kuandaliwe nyenzo za ...
Alipopewa nafasi ya kusalimia wananchi kwenye mkutano huo, kada huyo wa Chadema amesema wananchi wanahitaji wawakilishi bungeni na kwenye halmashauri, hivyo amewataka wapige kura za ukombozi ...
Wakati joto la uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 likizidi kupanda, vyama mbalimbali viko kwenye michakato ya kukamilisha uandishi ...
Biharamulo. Aliyekuwa Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Peter Buhime amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) ...
Dar es Salaam. Mwanamuziki Nandy ameweka wazi changamoto aliyowahi kukumbana nayo kwenye ndoa, akisema ni tabia ya mumewe Billnass kuchanganya familia na marafiki. “Ilikuwa changamoto ...
Katika juhudi za kuendeleza ujumuishaji wa kifedha na kuongeza matumizi ya huduma za kidijitali, Benki ya Stanbic Tanzania ...
Katika kipindi cha miezi saba Somalia na Tanzania zimefungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kidiplomasia kwa kusaini ...