资讯

Tanga. Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Songea, imewaachia huru Josephine Kapinga na Mathayo Kapinga waliokuwa wanakabiliwa na ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea na mkakati wake wa kuimarisha utendaji serikalini baada ya kufanya uteuzi wa viongozi mbalimbali katika taasisi na mamlaka za umma.
Wakati matukio ya watu kujiua yakiendelea kutokea kwa kile kinachoelezwa kuwa ni msongo wa mawazo, jamii imetakiwa kutambua ...
Mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) kutoka Mkoa wa Songwe, Nkunyutila Siwale, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Wizara ya Kilimo imezindua mfumo wa kielektroniki wa huduma za ugani uitwao eKilimo, unaolenga kuwawezesha wakulima nchini ...
Mwalimu Dorosela Salvatory (45) wa Shule ya Sekondari Nyanza amekutwa amefariki dunia akidhaniwa kukatwakatwa na kitu chenye ...
Zimwi la kutoa vibali vya viwanja kwa watu zaidi ya mmoja limezidi kuwaandama maofisa ardhi na sasa wametakiwa kushitakiwa ...
Wadau wa masuala ya watoto wametaja mikakati itakayosaidia kuongeza kasi ya kupunguza vifo vya watoto waliochini ya miaka mitano ikiwemo lishe, afya ya mama na mtoto kwa kuwajengea uwezo ...
Lishe bora kwa wanafunzi imeendelea kuimarika wilayani Kishapu, Mkoa wa Shinyanga, huku idadi ya shule zinazotoa chakula ...
Lissu anakabiliwa na kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo katika mtandao wa Youtube, kinyume na kifungu cha 16 cha Sheria ya ...
Katika orodha hiyo yenye jumla ya majina 75, Tanzania inawakilishwa na Ahmed Arajiga wa Manyara na Ally Hamdani Saidi kutoka Mtwara.