Kwa miaka ya hivi karibuni, benki zimeonyesha uthabiti mkubwa kwa kupata faida inayotokana na mikakati madhubuti ya kifedha, uboreshaji wa huduma na upanuzi wa mikopo kwa wateja.
Mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara zimeshika kasi na kufikia patamu. Licha ya kwamba hadi sasa ubingwa huo kuwa wazi kwa timu tano, lakini Simba na Yanga wakionekana na nafasi nzuri.
Mkataba wa Ngoma umebakiza miezi minne hivi sasa ili ufikie tamati na kwa sasa yuko huru kuingia makubaliano ya awali na timu yoyote tofauti na Simba kwa vile mkataba alionao uko chini ya ...