资讯
MBALE, Uganda, April 27 (Xinhua) -- Uganda on Saturday declared an end to the Ebola Sudan Virus Disease (SVD) outbreak after completing a 42-day mandatory countdown without any new confirmed cases ...
KAMPALA, 30 ene (Xinhua) -- La Organización Mundial de la Salud (OMS) indicó hoy que desplegó un equipo médico de emergencia para ayudar a Uganda a combatir un letal brote de ébola que cobró la vida ...
Uganda hii leo imetangaza kutokomeza mlipuko wa ugonjwa wa Ebola uliosababishwa na virusi aina ya Sudan, ikiwa ni chini ya miezi minne tangu kuthibitishwa kwa mgonjwa wa kwanza kwenye wilaya ya ...
Uganda imetangaza Alhamisi kuwa imepokea shehena ya chanjo mbili ili kupima ufanisi wake dhidi ya ugonjwa wa Ebola ambao umesababisha vifo vya makumi ya watu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Wahariri wa magazeti ya Ujerumani wamejishughulisha na mlipuko wa ugonjwa wa ebola nchini Uganda, vifo vya watoto nchini Gambia kutokana na dawa za mafua kutoka India na uasi wa kundi la M3 ...
TANZANIA na Uganda, zimeingia makubaliano ya kufanya kazi kwa ushirikiano mipakani, ili kudhibiti ugonjwa wa Ebola. Makubaliano hayo yalifikiwa jana katika mpaka wa Bugango ulipo Wilaya ya Misenyi, ...
WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu amethibitisha kifo cha daktari Mtanzania, Mohamed Ali Hafidh, aliyefariki kwa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda. Amethibitisha taarifa hiyo leo, Oktoba Mosi, 2022 kupitia ...
Idadi ya kesi zilizothibitishwa za Ebola nchini Uganda imeongezeka hadi 31. Kifo kimoja zaidi pia kimerekodiwa, na kufanya jumla ya vifo vilivyothibitishwa kufikia sita.
Maambukizi na vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Ebola vimeanza kuongezeka nchini Uganda ambapo saa 24 tangu kutangazwa kwa mlipuko wa ugonjwa huo imeripoti vifo viwili.
Mtanzania Ebola yaingia Uganda, WHO yaonya kusambaa -MTOTO wa kiume wa miaka mitano ambaye anakuwa wa kwanza kuthibitika kuwa na ugonjwa wa Ebola nje ya mipaka ya Kongo amefariki dunia nchini Uganda.
Mtoto wa miaka mitano ambaye aliripotiwa kuwa na virusi vya Ebola nchini Uganda amefariki dunia, imesema taarifa ya wizara ya afya wakati huu hata wazazi wake wakiwa wamethibitishwa kuwa na virusi ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果