News

London, England. Klabu ya Chelsea bado haijamaliza kufanya maboresho katika safu yake ya ushambuliaji, licha ya kutumia kiasi kinachokadiriwa kufikia Pauni milioni 173 (Sh443 bilioni) ...
Dar es Salaam. Dhamira ya Tanzania kujenga uchumi usio tegemea sana fedha taslimu imepata msukumo mpya baada ya kampuni ya ...
Soko la Kariakoo limekuwa kwenye ukarabati tangu mwaka 2022, huku serikali ikitumia zaidi ya Sh28 bilioni kwa ukarabati na ...
Hatima ya kujulikana majina ya kina nani yaliyopenya katika mchujo wa vikao vya kitaifa vya Chama cha Mapinduzi (CCM) ili ...
Mwalimu Dorosela Salvatory (45) wa Shule ya Sekondari Nyanza amekutwa amefariki dunia akidhaniwa kukatwakatwa na kitu chenye ...
Zimwi la kutoa vibali vya viwanja kwa watu zaidi ya mmoja limezidi kuwaandama maofisa ardhi na sasa wametakiwa kushitakiwa ...
Lishe bora kwa wanafunzi imeendelea kuimarika wilayani Kishapu, Mkoa wa Shinyanga, huku idadi ya shule zinazotoa chakula ...
Tanga. Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Songea, imewaachia huru Josephine Kapinga na Mathayo Kapinga waliokuwa wanakabiliwa na ...
Wizara ya Kilimo imezindua mfumo wa kielektroniki wa huduma za ugani uitwao eKilimo, unaolenga kuwawezesha wakulima nchini ...
Malalamiko hayo yameibua mgongano wa hoja za kisheria baina yake na mawakili wa Serikali kwa niaba ya mjibu maombi katika ...
Katika hati ya madai, walalamikaji wanadai Februari 13, 2024, Mange akiwa na nia ovu alishapicha taarifa kupitia akaunti yake ...
Wakati matukio ya watu kujiua yakiendelea kutokea kwa kile kinachoelezwa kuwa ni msongo wa mawazo, jamii imetakiwa kutambua ...