资讯

Lissu anakabiliwa na kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo katika mtandao wa Youtube, kinyume na kifungu cha 16 cha Sheria ya ...
Mwalimu Enock Peter (32) wa Shule ya Msingi Potwe wilayani Muheza mkoani Tanga, amedaiwa kujinyonga kwa kutumia shuka ...
Katika hati ya madai, walalamikaji wanadai Februari 13, 2024, Mange akiwa na nia ovu alishapicha taarifa kupitia akaunti yake ...
Malalamiko hayo yameibua mgongano wa hoja za kisheria baina yake na mawakili wa Serikali kwa niaba ya mjibu maombi katika ...
Wawili hao wote ni wazaliwa na wakazi wa Kigoma na hii sio vita yao ya kwanza, waliwahi kuwania ubunge wa jimbo hilo pamoja, ...
Ekari 614 za mashamba ya bangi, kilogramu 3,741.9 za bangi kavu na kilogramu 1,706 za mbegu za bangi zimeteketezwa katika ...
Miongoni mwa hatua zilizopangwa ni agizo la matumizi ya vifungashio maalumu vyenye ujazo wa kilo 100, ambavyo vitatumika ...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi, amesema kuwa ufunguzi wa jengo jipya la Tume hiyo ...
Daura, Nigeria. Katika jiji la Daura, jimbo la Katsina mamia kwa maelfu ya waombolezaji wamejumuika kutoa heshima za mwisho ...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amezungumzia mvutano wa Sh34 bilioni zilizotengwa kwa ajili ya ujenzi na upanuzi wa ...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Askofu Josephat Gwajima amesema yeye ataendelea kuwa mwanachama wa ...