Besigye, aliyekuwa daktari wa kibinafsi wa Rais Yoweri Museveni, alikamatwa katika mazingira ya kutatanisha mwezi Novemba ...
Mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda na aliyewahi kuwa mgombea wa urais Kizza Besigye ameanza kususia chakula kulingana na taarifa ya mawakili wake.